Maswali yaulizwayo mara kwa mara


  1. Ongea
  2. mchezo
  3. Malipo
  4. Usalama
  5. Mahitaji ya kiufundi

Ongea

Ni sheria gani za kuongea?
Katika mazungumzo yetu hatukubali kabisa matusi, kuapa na aina yoyote ya matule. Mfumo wetu una ziba maneno haya "haramu", tunatua kwa kichujio hiki kinaweza kuepukwa kwa jia nyingi. Kama neno limefichwa inamaanisha haliruhusiwi na kwa hivyo kuepuka kichujio chetu ni sababu ya kupigwa marufuku kutoka kwa mazungumzo.
Nitafanyaje kama mtu atanitusi katika mazungumzo?
[%jina_la_kasino%] haivumilii matusi na lugha chafu.Tafadhali ripoti mazungumzo yoyote ambayo siyakirafiki kwa usadizi. Hata kama tunachunga meza kadri tuavyoweza, tunahitaji usaidzi wa wachezaji kuweka [%jina_la_kasino%] safi na makumbano mazuri kwa kila mtu. Usijibu kwa makosa au utapigwa marufuku kama aliyekutupia hayo matusi.

mchezo

Meza imejaa. Nitafanyaje?
Kama meza imejaa, unaweza kuweka jina lako kwa Msururu Unaongojea meza. Mara tu kiti kitakapo patikana, mtu wa kwanza aliye kwa msururu wa kungojea ataweza kuchukuwa kiti au akikatae. Unaweza pia kuchagua kuchukuwa kiti kwa meza tupu iliyo na mcheza sawa na upeo sawa. Kawaida wachezaji wengine wanajiunga na meza hiyo haraka mara tu mtu mmoja anapochukuwa kiti cha kwanza.
Itakuaje kama mawasiliano yatapotea?
Kwa chumba chetu cha poka iwapo mawasiliano yatapotea na kompyuta ya mchezo wakati wa mchezo, utachukuliwa kama uko kwa mwito, kwa hivyo uwekezaji wako katika chungu kitachungwa kwa wakati huo wote na utakuwa mshindi kama uko na mkono mzuri na hakuna mtu yeyote anabahatisha chochote.
Kiwango cha chini cha buy-in ni kipi?
Kiwango cha chini cha buy-in daima ni mara 10 ya bahatisho ya kima cha chini ya mchezo. Kwa mfano, katika mchezo wa bahatisho ya €1/€2, kima cha chini cha buy-in ni €10. Kumbuka kwamba michezo yote kwa [%jina_la_kasino%] inachezwa na "cheza pesa".
Nitajuaje kiasi cha pesa kataka chungu kinacho chezewa?
Kwa kila meza ya [%jina_la_kasino%], kiasi chote cha chungu, kujumuisha bahatisho za sasa, kinaonyeshwa chini ya dila. Kwa kila mwisho wa raundi ya kubahatisha, chipsi zote zinakusanywa katikati ya meza.
Nita wezaje kuongezea alama zangu katika hali ya "cheza kwa furaha"?
Kawaida alama zinaongezeka moja kwa moja baada tu ya kuzimaliza.
Hii programu inaniruhusu mimi nifiche mikono yangu yakushinda?
Hapana, haiwezekani. Kama utacheza mkono mpaka mwisho wa mchezo na wako ndio mzuri moja kwa moja utaonyeshwa.
Hii hali inakulinda wewe kutokana na kupoteza na mkono wa kushinda.
Ipi ndio yote kwako katika sera?
All-in zinalinda uwekezaji ndani ya chungu wakati utakuwa hauna pesa wakati wa mchezo, hau jibu kwa wakati ufaao au mawasiliano na kompyuta yako yanapotea. Kila chezaji anaulinzi wa buy-in kila masaa 24.
All-in unapoishiwa na pesa wakati wa mchezo: Kama wakati wa mchezo utaishiwa na pesa, bado unaweza kuendelea na kucheza kwa kuchagua all-in kwa chungu ambamo umeweka bahatisho zako. Bahatisho za wachezaji wengine zitakusanywa kwa chungu chengine wakishindana kati yao.
All-in wakati utakosa wakati: Kama hauta songa kwa muda (sekunde 10) mfumo utachukulia kwa haupatikani kukamilisha mkono. Kwa hivyo kwa uwezekano wa all-in uwekezaji ndani ya chungu ni salama mpaka kipindi cha mchezo. Mfumo utarekodi na kuonyesha kadi zote. Iwapo utashinda akaunti itaongezewa kulingana na ushindi. Unaweza kuitisha historia ya mkono kuangalia matokeo.
All-in iwapo maunganisho yatapotea. Tunajua kwamba maunganisho ya mtandao yanaweza kuwa hayako thabiti na mchezaji anaweza kupoteza maunganisho na sava ya mchezo.
Bila kujali sababu ya kukatika kwa maunganisho, uwekezaji wako utalindwa mpaka ule wakati utarudi na all-in. Mfumo utarekodi na kuonyesha kadi zote. Iwapo utashinda akaunti itaongezwa kulingana na ushindi. Unaweza kuitisha historia ya mkono kuangalia matokeo. Muhimu: kama, wakati wowote all-in itakuwa sufuri (0) utacheza kwa hatari yako mwenyewe. Hii inamaanisha haulindwi na all-in wakati wa kupotea kwa maunganisho au kuchelewa kwa jibu. MKONO UTAFUNGWA NA UWEKEZAJI UTAPOTEA bila nafasi yoyote ya kuchukua hatua. Hata kama tutakubaliana all-in moja(1) kila masaa 24, tuta tathmini kama tutarudisha, kwa ruhusa ya mapema, ulinzi wako kwa moja. Ikitaka utathmini wasiliana tu na huduma yetu ya wateja kwa usaidizi. Hata hivyo kama [%jina_la_kasino%] itakisia utumiaji mbaya wa all-in matokeo yanawezekana kuwa uvunjaji au kukataa ombi la kurudisha.
Inawezekana kutazama mchezo kabla kujiunga au kuweka pesa?
Bila shaka! Unaweza pia kucheza bila malipo. Chenye unatakiwa kufanya nikufyngua akaunti. Hauhitajiki kuweka pesa yoyote ndio uangalie au kujiunga na michezo yetu ya majaribio. Lakini lazima upeane ujumbe wa kweli kuhusu akaunti. Utalazimika kuweka pesa kama unataka kucheza na pesa halisi. Baada ya kufunguliwa kwa akaunti unaweza kukubaliwa kwa ushirika na kuingia ndani kwa meza.
Chati ya Wachezaji Bora inakadiriwaje?
Chati ya wachezaji wa juu inakadiriwa kwa kuzingatia ushindi wa mchezaji wa kila wiki wa mchezo wa pesa.

Malipo

Nita wezaje kufanya Flashi ya mchezaji kufanya kazi?
Rasilimali bora ya kutafutatua kwa masuala ya Flashi ya mchezaji pamoja na masasisho ya Flashi ya Mchezaji inaweza kupatikana HAPA kwa mtandao wa Macromedia.

Nawezaje kuweka pesa katika akaunti yangu ya wachezaji?
Kuna jia nyingi tofauti za kuweka pesa kwa akuanti yako. Jia moja ya haraka ni kutumia kadi yako ya mkopo. Jia zengine mbadala zimeorodeshwa kwa sehemu yetu ya malipo.
Kuna malipo yoyote ya usindikaji wa kadi ya mkopo?
Kama uhamashishaji [%jina_la_kasino%] itasimamia malipo kama hayo kwa sasa. Kwa kiwango cha baadaye tutalazimika kulipisha wateja wetu kwa sababu malipo ya kusafirisha pesa ni makubwa sana kwa bajeti yetu.
Nawezaje kutoa pesa kutoka kwa akaunti yangu ya [%jina_la_kasino%]?
Kunajia mbali mbali za kutoa pesa. Kama uliweka pesa na MoneyBookers au Bonyeza na Ununue unaweza kuuliza re-credit akaunti kutoka kwenye uliwekea pesa. Akaunti yako lazima ithibitishe na kopi ya kitambulisho cha kweli na kadi ya mkopo unayotumia; kama uliweka pesa kupitia Western Union au transfer ya benki unaweza kupata malipo kwa akaunti yako ya kuangalia pekee.
Jua kwamba: kitambulisho na kadi ya mkopo lazima kitumwe na barua pepe kwa usaidizi.

Usalama

Ningelitaka kucheza na majina tofauti, ninaweza kuwa na akaunti zaidi ya moja?
Hapana. Kila mchezaji anakubaliwa kuwa na akaunti moja pekee.
Nilipoteza jina langu la matumizi au neno la siri. Nitafanyaje?
Huo ni ujumbe ulio hifadhiwa, utahitajika kuwasiliana nasi kupitia kwa barua pepe ya usaidizi, na tutafurahia kukusaidia.
Nita wezaje kubadilisha maelezo yangu ya binafsi?
Uko huru kuyabadilisha wakati wowote utakao. Bonyeza tu kwa Maelezo ya Binafsi kwa Ukurasa wa Nyumbani wa [%jina_la_kasino%] na ubafilishe ujumbe unaotakikana.
Nita wezaje kuweka akaunti yangu ya [%jina_la_kasino%] salama?
  1. Uko na jukumu la neno lako la siri.
  2. Usiambie kabisa mtu yeyote maelezo ya akaunti yako.
  3. Hatukuuliza kukutumia wewe neno la siri, wakati pekee utakaohitaji kulitumia ni wakati utakapo ingia kwa [%jina_la_kasino%].
  4. Tunapendekeza ubadilishe neno lako la siri mara kwa mara.
Je, ninalindwa wakati ninacheza kwa [%jina_la_kasino%]?
Ni muhimu kuwa salama dhidi ya mipango ya mchezo kama vile timu ya kucheza (muungano) na aina yoyote shughuli isiyopendeza. [%jina_la_kasino%] inatumia kinga salama ilitoundwa kwa poka na tunafanya tuwezavyo kukinga mchezo wako. Tuna angalia mara kwa mara michezo iliyona mfumo wa moja kwa moja na wafanyikazi wetu, na pia unaweza kusaidia kupatiana huduma salama kwa kuwasiliana na usaidizi wetu wakati ukiona kitu chochote kisichokuwa cha kawaida kikitukia au uvunjaji wa sheria za mchezo.
Je, ni halali?
Kucheza kwa [%jina_la_kasino%] lazima uwe umekomaa kulingana na sheria za nchi yako zinazotumika. Jua kwamba kucheza poka kwa mtandao kunaweza kuwa kinyume cha sheria kwa nchi zengine. Tafadhali tazama sheria za ndani kabla ya kuanza kucheza.

Mahitaji ya kiufundi

Ni aina gani ya kompyuta ninahitaji?
Tuna pendekeza Intel/AMD Prosesa kwa 1 GHz au zaidi na 256MB ya RAM. Kama mfumo wa oparesheni Microsoft Windows 98/Me/NT/2000/XP/Vista au Mac OSX na Mtandao Explorer 6.0 au zaidi au Mozilla Firefox.
Ni vipimo gani vy skrini unavyopendekeza?
Kwa kuona bora tumia utatuzi wa kima cha chini wa 1024 X 768 na milioni ya rangi.
Nilazima nishushe programu ndio nicheze?
Hakika sivyo! [%jina_la_kasino%] inapatika kamili kwa mtandao bila kushusha aina yoyote ya programu ndani ya diski yako ngumu. Lakini ni muhimu kuwa na Flashi mchezaji 8 kuikimbisha.

Maswali mengine? Huduma yetu ya wateja inapatikana 24/7, wewe tuma tu barua pepe kwa usaidizi.